Wednesday, December 19, 2012


DIAMOND PLATNUMZ ATAENDELEA KUPETA SANA!!!!

Pamoja na viskendo vya hapa na pale , the hitmaker wa mawazo na kamwambie, Diamond Platnumz ameachia mkwaju mpya unaokwenda kwa jina la kesho. Video queen kwenye video hiyo Avril, na imefanywa Ogopa DJz kutoka Area Coded 254 kwa Kibaki. vipi na Huyo Avril sasa ndo mpyaaa, ama?