Thursday, August 9, 2012

PREZZO ashinda zaidi ya KEAGAN!!

Icon anayefanya pouwa kunako game la muziki Afrika Mashariki, Prezzo 32, aakuwa akipata kikubwa kuliko hata Keagan ambaye ndiye mshindi wa BigBrother StarGame kwa kuweka kimyani kitita cha dollari za kimarekani 300,000/=, kwani Prezzo atakuwa akiweka kitita cha dollari za kimarekani 720,000/= kwa mwaka na hii ni baada ya kuingi mkataba na kampuni ya ONE kama balozi.
Prezzo atakuwa akilipiwa fedha kwa ajili ya burudani, malazi, usafiri na mshahara.
Source: The Kenyan Daily Post